sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
Wana bodi wote,Wasalaam! Jamani kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kutambua yai la kuku jogoo na mtetea hata kabla ya kuanguliwa anisaidie! Ninafuga kuku lakini nahitaji kuwekeza zaidi kwenye mitetea!