Wakuu kuna utaalamu wowote wa kutambua yai kabla ya kuanguliwa la jogoo na mtetea?

Wakuu kuna utaalamu wowote wa kutambua yai kabla ya kuanguliwa la jogoo na mtetea?

Wana bodi wote,Wasalaam! Jamani kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kutambua yai la kuku jogoo na mtetea hata kabla ya kuanguliwa anisaidie! Ninafuga kuku lakini nahitaji kuwekeza zaidi kwenye mitetea!
Hahah maswali mengine bana
 
Wana bodi wote,Wasalaam! Jamani kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kutambua yai la kuku jogoo na mtetea hata kabla ya kuanguliwa anisaidie! Ninafuga kuku lakini nahitaji kuwekeza zaidi kwenye mitetea!
Ipo dhana kuwa yai lililo chongoka sana nila jogoo na ambalo halijachongoka nila mtetea ila sidhani kama kuna udhibitisho wa hii dhana.
sahihi
 
Niweke picha hii kwa faida ya mjadala,
Yai la Kuku likiwa hivi:
1. likiwa limechongoka hutotolesha kifaranga cha jogoo.
2. Likiwa hakika hongoka kifaranga cha mtetea
Screenshot_20230823-181225.png
 
Yai limaweza kuwa kubwa au dogo na llimechongoka au halijachongoka
Ukweli upo hv, yai kubwa lililochongoka hutoa kifaranga kikubwa Cha jogoo na wakat yai kubwa lisilochongoka hutoa kifaranga kikubwa Cha tetea vice versa is true kwenye yai dogo lililochongoka na lisilo chongoka.
-Accuracy ya hii dhana ni asilimia 90 Hadi 98 ya mayai hivo tunaweza kutumia hii kutofautisha mayai
- mimi pia Huwa natumia hii njia na katika mayai kumi labda moja linaweza kuwa la jogoo na pia nadhani ni makosa tu katika kuangalia uchongokaji
 
Niweke picha hii kwa faida ya mjadala,
Yai la Kuku likiwa hivi:
1. likiwa limechongoka hutotolesha kifaranga cha jogoo.
2. Likiwa hakika hongoka kifaranga cha mtetea
View attachment 2726396
Mkuu nakushukuru sana kwa elimu hii uliyonipa. Binafsi ni Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji nilikuwa nashindwa kutofautisha kati ya yai la Jogoo na la Mtetea. Maana huwa mayai ya Jogoo tunapenda sana kula kuliko yale ya Mtetea. Jogoo wa Mbegu ninaye kwa hiyo nakuwa sihitaji Jogoo mwingine maana hata wakiwa pamoja ni mwendo wa kupigana kila siku.
 
Back
Top Bottom