sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
Inachanganya sana.AhsanteIpo dhana kuwa yai lililo chongoka sana nila jogoo na ambalo halijachongoka nila mtetea ila sidhani kama kuna udhibitisho wa hii dhana.
Kama ni hivyo inachanganya aiseewengine wanasema mayai madogo ni tetea na makubwa ni jogoo
sasa jibu sahihi ni lipiKama ni hivyo inachanganya aisee
Ipo dhana kuwa yai lililo chongoka sana nila jogoo na ambalo halijachongoka nila mtetea ila sidhani kama kuna udhibitisho wa hii dhana.
Mimi nina kuthibitishia nilikuwa nafuga kuku wa kienyeji.nilijifunza kupitia vitabu vya ufugaji wa kuku.ni kweli yai lilochongoka ni jogoo na ambalo halijachongoka ni mtetea.nilijaribu kuwa mayai 10 jogoo 2 na mtetea 8 vifaranga vilianguliwa 7 nilipata jogoo 2 na mitetea 5 mayai 3 hayakutotolewa.Ipo dhana kuwa yai lililo chongoka sana nila jogoo na ambalo halijachongoka nila mtetea ila sidhani kama kuna udhibitisho wa hii dhana.
Ahsante sanaMimi nina kuthibitishia nilikuwa nafuga kuku wa kienyeji.nilijifunza kupitia vitabu vya ufugaji wa kuku.ni kweli yai lilochongoka ni jogoo na ambalo halijachongoka ni mtetea.nilijaribu kuwa mayai 10 jogoo 2 na mtetea 8 vifaranga vilianguliwa 7 nilipata jogoo 2 na mitetea 5 mayai 3 hayakutotolewa.
Kuna dhana ya yai kubwa jogoo,dogo tetea lakn inanichanganya kwakua kuku wengine wanataga mayai makubwa tuWana bodi wote,Wasalaam! Jamani kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kutambua yai la kuku jogoo na mtetea hata kabla ya kuanguliwa anisaidie! Ninafuga kuku lakini nahitaji kuwekeza zaidi kwenye mitetea!
Asante kwa ushuhuda wako kupitia experience yako naona ni hivyoMimi nina kuthibitishia nilikuwa nafuga kuku wa kienyeji.nilijifunza kupitia vitabu vya ufugaji wa kuku.ni kweli yai lilochongoka ni jogoo na ambalo halijachongoka ni mtetea.nilijaribu kuwa mayai 10 jogoo 2 na mtetea 8 vifaranga vilianguliwa 7 nilipata jogoo 2 na mitetea 5 mayai 3 hayakutotolewa.
Hujaelewa kwel mtoa mada kasema yai linakaribia kuanguliwa means linalaliwa na tetea, jogoo hatagi, alitaka kujua yai linaloangua kifaranga cha kijogoo na cha kitetea.Mi sijaelewa nadhani, tunaongelea yai la jogoo kwani jogoo wanatagaga
Kweli we k*mayai la jogoo linawika na la tetea linataga
Siunajua vyuma vimekaza hoja kama hizi tunasoma faster faster tu ili kuminimaizi bando? Sasa nshakuelewa maana nimekaa sehemu kuna free WI FI najiachia tu.Hujaelewa kwel mtoa mada kasema yai linakaribia kuanguliwa means linalaliwa na tetea, jogoo hatagi, alitaka kujua yai linaloangua kifaranga cha kijogoo na cha kitetea.
Haya bhana!Siunajua vyuma vimekaza hoja kama hizi tunasoma faster faster tu ili kuminimaizi bando? Sasa nshakuelewa maana nimekaa sehemu kuna free WI FI najiachia tu.