Wakuu Kwa Nini hakuna t-shirt za drafts katika designs za mavazi.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimekuwa Nikiona shati a drafts tu.
Najiuliza Kwa Nini sikioni hakuna t-shirt cotton nzuri lakini na zenyewe ziwe draft lakini nzuri za kisasa.

Kun mwenye ufahamu kuhusu vazi hili na Kwa Nini sio common
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…