Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 6, 2025 #21 fact only said: Kina fahamika Mkuu. Click to expand... Mimi sikifahamu...
fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,481 Reaction score 4,014 May 6, 2025 Thread starter #22 mxrereco said: Hawawaelewi wachungaji wataelewa jamii forum! Nilishakataa huo ujinga at all, hakuna papuchi itazidi uhai wangu au wapate mtu mwingine. Tumezinguana pita kule maisha bado yapo. Click to expand... Good.
mxrereco said: Hawawaelewi wachungaji wataelewa jamii forum! Nilishakataa huo ujinga at all, hakuna papuchi itazidi uhai wangu au wapate mtu mwingine. Tumezinguana pita kule maisha bado yapo. Click to expand... Good.
K kombeo la daudi Senior Member Joined Apr 30, 2025 Posts 190 Reaction score 200 May 7, 2025 #23 Ni ujinga mtupu, kujitundika kisa hizi mambo. unajiua utafikiri uliweka order kwa wazazi wake, kuwa akizaliwa tu ni wako milele.
Ni ujinga mtupu, kujitundika kisa hizi mambo. unajiua utafikiri uliweka order kwa wazazi wake, kuwa akizaliwa tu ni wako milele.
fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,481 Reaction score 4,014 May 7, 2025 Thread starter #24 kombeo la daudi said: Ni ujinga mtupu, kujitundika kisa hizi mambo. unajiua utafikiri uliweka order kwa wazazi wake, kuwa akizaliwa tu ni wako milele. Click to expand... Ni hatari Sana Mkuu, Hawa vijana inatakiwa waeleweshwe wajitambue.
kombeo la daudi said: Ni ujinga mtupu, kujitundika kisa hizi mambo. unajiua utafikiri uliweka order kwa wazazi wake, kuwa akizaliwa tu ni wako milele. Click to expand... Ni hatari Sana Mkuu, Hawa vijana inatakiwa waeleweshwe wajitambue.