Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Heshima kwenu wakuu!
Twende moja kwa moja kwenye mada husika,
1. Niliwahi kujichangachanga na kununua simu Samsung galax s9+ mwanangu akalilia kucheza game, nikamwekea game ya magari nikampa halafu nikatoka nje kama nusu saa kurudi nakuta anaichovya kwenye beseni la maji huku anaipaka subuni ya Unga sijakaa sawa naangalia pembeni namwona rafiki yake mtoto wa jirani, anaruka, ruka, kwenye laptop Mac book pro juu yake huku anaimba wakuu niliganda km sekunde 20 hv nikiwaangalia,
Hebu nawe lete hasara ulizowahi kupata kupitia mwanao, wanao au mfanyakazi wa ndani!
Nawasilisha!