Wakuu leo tukumbushane hasara ulizowahi kupewa na mfanyakazi mtoto, watoto wako nyumbani!

Wakuu leo tukumbushane hasara ulizowahi kupewa na mfanyakazi mtoto, watoto wako nyumbani!

nasoma hizo comments utumbo unanicheza, mimi kuchora chora kila sehem makabti ya nguo vyumbani utasema ubao sjabahatika kuharibiwa sim wala tv na sitaki itokee maana nutakavyo mkanda lazima niundiwe kamati ya kimaadili.
 
Back
Top Bottom