Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
nasoma hizo comments utumbo unanicheza, mimi kuchora chora kila sehem makabti ya nguo vyumbani utasema ubao sjabahatika kuharibiwa sim wala tv na sitaki itokee maana nutakavyo mkanda lazima niundiwe kamati ya kimaadili.