Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Alitoa nje kijiko kikiwa na harufu ya nyama kunguru kaja kabebaheshima kwenu wakuu! Twende moja kwa moja kwenye mada husika, 1:Niliwahi kujichangachanga na kununua simu samsang galax s9+ mwanangu akalilia kucheza game,nikamwekea game ya magari nikampa alafu nikatoka nnje km nusu saa kurudi nakuta anaichovya kwenye beseni la maji huku anaipaka subuni ya Unga sijakaa sawa naangalia pembeni namwona rafiki yake mtoto wa jirani, anaruka, ruka, kwenye laptop Mac book pro juu yake huku anaimba wakuu niliganda km sekunde 20 hv nikiwaangalia, embu nawe lete hasara ulizowahi kupata kupitia mwanao,wanao au mfanyakazi wa ndani! Nawasilisha!
Hii mbona sio hasara mkuu?Gari liligeuzwa ubao wa kuchorea
Acha masihara mkuu hakumbeba na yeye?Alitoa nje kijiko kikiwa na harufu ya nyama kunguru kaja kabeba
TV yangu,wanangu walikuwa wanagombania kuweka flash!Likashuka zima chini na bonge la mpasuko!heshima kwenu wakuu! Twende moja kwa moja kwenye mada husika, 1:Niliwahi kujichangachanga na kununua simu samsang galax s9+ mwanangu akalilia kucheza game,nikamwekea game ya magari nikampa alafu nikatoka nnje km nusu saa kurudi nakuta anaichovya kwenye beseni la maji huku anaipaka subuni ya Unga sijakaa sawa naangalia pembeni namwona rafiki yake mtoto wa jirani, anaruka, ruka, kwenye laptop Mac book pro juu yake huku anaimba wakuu niliganda km sekunde 20 hv nikiwaangalia, embu nawe lete hasara ulizowahi kupata kupitia mwanao,wanao au mfanyakazi wa ndani! Nawasilisha!
Kama ni michubuko si inabidi upake rangi up ya!Hii mbona sio hasara mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daahhh watu mnaongelea ma hasara makubwa makubwa hadi mimi naona aibu kushare ki hasara nilichopewa jana tu baada ya dada kuweka dumu la mafuta niliyonunua hiyo huyo jana juu ya mkaa uliokuwa umedondoka chini na kisha mafuta yote kuishia chini.
Mpaka sasa sipo sawa nawaza nipate mtaalamu wa akili. Ningepata hizo hasara kubwa kubwa mngekuwa mnakuja kunisalimia mirembe.
Pole mama junior..Mwanangu alitaka kumtoa katuni kwenye tv mwishowe aliiangusha na kuvunja screen, tv ikawa screpa.
remote ndio balaa maduka ya Azam na star times tushakuwa marafiki sa hivi.
Pole saanaSamsung Curve mpya 55' naitoa kwenye box tu dogo akarusha chupa ya roll on kwenye screen.
View attachment 3235220
Pita hapaHeshima kwenu wakuu!
Twende moja kwa moja kwenye mada husika,
1. Niliwahi kujichangachanga na kununua simu Samsung galax s9+ mwanangu akalilia kucheza game, nikamwekea game ya magari nikampa halafu nikatoka nje kama nusu saa kurudi nakuta anaichovya kwenye beseni la maji huku anaipaka subuni ya Unga sijakaa sawa naangalia pembeni namwona rafiki yake mtoto wa jirani, anaruka, ruka, kwenye laptop Mac book pro juu yake huku anaimba wakuu niliganda km sekunde 20 hv nikiwaangalia,
Hebu nawe lete hasara ulizowahi kupata kupitia mwanao, wanao au mfanyakazi wa ndani!
Nawasilisha!