Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau.
Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU , ila nauhakika Online TVs na Main Media zitajifanya kuupotezea Kwa sababu ya mlungura, biti na Hofu kutoka Kwa chama .
Hata hivo , wakuu nimpende kuwaambia, GAIRO imeamka, Maelfu ya watu walokubali kushindaa njaa tangu Asubuh mpaka jion, bila msaniii, wamelala kumsubiria LISSU , Narudia ni maelefu Maelfu ya watu , ni Maelfu ya Wana Gairo .
Hajawahi kutokea!! Huyo ndio LISSU .
View: https://youtube.com/shorts/0J1L8W4z4Qg?si=MQKxUhe0kBOvL2Rk