Nimeona Msavu, Dumila na Gairo, kwa kweli hii inatia moyo kuwa Watanzania wanakubali upinzani kwa moyo, wanakusanyika bila kubebwa, bila kununuliwa wala kwenda kuona wasanii.
2 Kor. 6: 2
Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.