Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

Na function parameters huwa zina kazi gani
Function parameter ni thamani(input value) ambazo function inapokea . Zinatuwezesha kupitisha thamani kwenye function kwa ajili ya kuzitumia ndani ya function na kufanya vitendo(ooerations) ndani.

Kwebye Javascript, function parameters zinaazimiwa(declared) ndani ya mabano baada ya jiba la function.
Kila parameter inatenganishwa na alama ya koma.

Huu hapa mfano:-
JavaScript:
function greet(name) {
  console.log("Habari, " + name + "!");
}

greet("Juma");

// hii ita-print "Habari Juma"
//'name' ndo function parameter
Fuata hii link upate mafunzo mazuri ya JS
The Modern Javascript Tutorial
 
Back
Top Bottom