Function parameter ni thamani(input value) ambazo function inapokea . Zinatuwezesha kupitisha thamani kwenye function kwa ajili ya kuzitumia ndani ya function na kufanya vitendo(ooerations) ndani.
Kwebye Javascript, function parameters zinaazimiwa(declared) ndani ya mabano baada ya jiba la function.
Kila parameter inatenganishwa na alama ya koma.
Huu hapa mfano:-
JavaScript:
function greet(name) {
console.log("Habari, " + name + "!");
}
greet("Juma");
// hii ita-print "Habari Juma"
//'name' ndo function parameter