Dah sijui tutatokaje uku, niunganishe basi na hao Member Only Club, nitakupooza.Deal kubwa mjini kuzipata ni lazima uwe mwanachama wa secret society maana ni "member only club";utaishia kuona issue zinafanyika hujawahi sikia hata tangazo.
😂😂maji hufuata mkondo,sisi watoto wa wakulima (siku hizi tunaitwa wanyonge) tuwe wapole tu tutapata wanavyobakiza.Dah sijui tutatokaje uku, niunganishe basi na hao Member Only Club, nitakupooza.
mkuu nawapataje hao masecret societies nadhani ni watu wasiojulikana hao.Deal kubwa mjini kuzipata ni lazima uwe mwanachama wa secret society maana ni "member only club";utaishia kuona issue zinafanyika hujawahi sikia hata tangazo.
Ni kuanzisha tu kampuni ya kuzibua vyoo,hii fani watu wengi wanaiogopaTufanyeje sasa boss, maana hapa mwaka wa pili huu natafuta fursa sizioni, kazi sipati. Hebu nipe tumaini ili nianze nalo.
Fursa zipo kuanzia nje ya mlango wa nyumba yako. Sema tu aibu na uoga ndio vinakuzingua🤣Tufanyeje sasa boss, maana hapa mwaka wa pili huu natafuta fursa sizioni, kazi sipati. Hebu nipe tumaini ili nianze nalo.
Hio ni hela nje njeNi kuanzisha tu kampuni ya kuzibua vyoo,hii fani watu wengi wanaiogopa
Sema watu wengi wanaidharau kutokana na mazingira ya kaziHio ni hela nje nje
mkuu unadhani hiyo fursa unaiona wewe tu, tuache maneno ya kwenye makaratasi mambo si mamboFursa zipo kuanzia nje ya mlango wa nyumba yako. Sema tu aibu na uoga ndio vinakuzingua🤣
Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.Fursa zipo kuanzia nje ya mlango wa nyumba yako. Sema tu aibu na uoga ndio vinakuzingua[emoji1787]
Hicho wanachokikwepa ndio hela yenyewe ilipo sasa.Sema watu wengi wanaidharau kutokana na mazingira ya kazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
Hamna siri ni kujipendekeza tu kwa wenye nazo.kama Bashite tu maana alianza kufunga kamba viatu vya watoto wa wenye nchi sasa hivi tunaongea story nyingine.mkuu nawapataje hao masecret societies nadhani ni watu wasiojulikana hao.
watuache na sisi basi tupige agalau pesa za kununulia sabuni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kila mtu fundi.Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kila mtu fundi.Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
Ndio ninacho !Una kitambulisho cha ujasiriamal
vyoo vinataka mavi, mavi yanataka chakula na chakula kinahitaji pesa na pesa watu hawana. uoni kazi hata za kuzibua vyoo hakuna ?Ni kuanzisha tu kampuni ya kuzibua vyoo,hii fani watu wengi wanaiogopa
ha ha ha ngoja tusubiri kifo sasavyoo vinataka mavi, mavi yanataka chakula na chakula kinahitaji pesa na pesa watu hawana. uoni kazi hata za kuzibua vyoo hakuna ?