Wakuu mimi mlalahoi nipeni mbinu na fursa nitokee kwenye sadc mkutano.

Fursa zipo kuanzia nje ya mlango wa nyumba yako. Sema tu aibu na uoga ndio vinakuzingua[emoji1787]
Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
 
M- Great Thinker, Je tufanyeje ?, nimelima Moro mwaka wa 7 huu, mambo bado, nimerudi mjini niangalie upepo baada ya njaa ya kijijini huku nako shida, nikitaka kutumia vyeti kazi hakuna(sipati), naona kama nimeonewa sana kuletwa nyakati hizi duniani.
 
Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mkuu nawapataje hao masecret societies nadhani ni watu wasiojulikana hao.
watuache na sisi basi tupige agalau pesa za kununulia sabuni
Hamna siri ni kujipendekeza tu kwa wenye nazo.kama Bashite tu maana alianza kufunga kamba viatu vya watoto wa wenye nchi sasa hivi tunaongea story nyingine.
 
Fursa ni kweli zipo, lakini hamna hela, kama hakuna hela huku uswahilin Je ni nani aje kukuunga mkono ?, utakaa tu na fursa yako, hela hakuna. Ata vyoo siku hizi watu huzibua wenyewe. Hela hakuna kila mtu fundi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kila mtu fundi.
 
nenda kakodi gari kwa wakodisha magari then na wewe nenda kalikodishe kwa hawa wahudhuria mkutano manake jioni baada ya mikutano nao watataka kwenda club kuvinjari kidogo mitaa kama elements kule masaki na capetown fish market msasani
 
Back
Top Bottom