mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 759
- 285
Haha haha haha mkuu niko vizuri kama ni gari niko full tank shaka ondoa hapa hakuna mzinga....unakuja na sh. ngapi, sio tukupokee halafu uanze kutupiga mizinga
Iringa mjini?Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana jf wote mnaopatikana iringa leo naingia iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu nawatakia siku njema. Thx....
Unakuja kikazi au kutembea?utarudi lini?Haha haha haha mkuu niko vizuri kama ni gari niko full tank shaka ondoa hapa hakuna mzinga....
Asante mkuu...Iringa mjini?
Karibu ila nipo wilayani
Mkuu hilo swali nishajibu mbona au unataka mkopo labda...!?Una hela lakini?
Mkuu mm ni mwanaume miraba minneWewe wa kiume au wa kike?toa jibu tujue ili niandae mpango wa kukupokea.
Mkuu nakuja kikazi nitakuwepo kwa muda wa wiki moja tu....Unakuja kikazi au kutembea?utarudi lini?
Karibu iringa, hivi vitoweo vyote kwa ajili yako mgeni, jisikie upo nyumbani.....Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana jf wote mnaopatikana iringa leo naingia iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu nawatakia siku njema. Thx....
Kamweneee
mabanda ya CCM pachafu sana!Utashukia Ipogolo au utapandisha hadi stendi kuu...?
ukifika stendi ulizia vibanda vya ccm kuna makamuzi ya noah
na vyuku kinoma, hata kwa mama siyovelwa pia patafaa.