Wakuu mnaopatikana Iringa mnipokee

Wakuu mnaopatikana Iringa mnipokee

Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana jf wote mnaopatikana iringa leo naingia iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu nawatakia siku njema. Thx....
Iringa mjini?
Karibu ila nipo wilayani
 
Wewe wa kiume au wa kike?toa jibu tujue ili niandae mpango wa kukupokea.
 
Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana jf wote mnaopatikana iringa leo naingia iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu nawatakia siku njema. Thx....
Karibu iringa, hivi vitoweo vyote kwa ajili yako mgeni, jisikie upo nyumbani.....
images (6).jpg
 
Utashukia Ipogolo au utapandisha hadi stendi kuu...?
ukifika stendi ulizia vibanda vya ccm kuna makamuzi ya noah
na vyuku kinoma, hata kwa mama siyovelwa pia patafaa.
 
mabanda ya CCM pachafu sana!
 
Back
Top Bottom