Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

Maigizo kama movie tu,usipoteze muda wako,kama unataka mieleka ya kweli kaangalie Olympics ndiyo ipo ya kweli
 
Kila kitu kipo kwenye script

Wacheza mieleka wote hata kwenye movie hawapati shida kabisa..wanafit moja kwa moja[emoji23]
 
Back
Top Bottom