Wakuu mnawezaji kuwa chawa?

Wakuu mnawezaji kuwa chawa?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!

Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu upewe chochote kitu!?

Hizi tabia tungeziacha kwa wanawake wanaoweza kuishi kinafiki badala ya sisi wanaume!

Amtegemeaye binadamu na kumfanya kinga kwake amelaaniwa!
 
Bachelor of Uchawa and praising to Celebrities, Business Tycoons and Politicians
Ni course mpya itaanza kutolewa mwakani pale chuoni maana soko lake ni kubwa kwa sasa na inalipa
 
Ukitonga tu wa wanaume wa sasa, hawataki kufanya kazi kwa nguvu zao wanatafuta njia za mkato za kufanikiwa.

Ndo maana wamegeuka kuwa na tabia za kike za kujipendekeza.

Wanaliwa tigo, wanatoka na mama zao zote hizo ni njia za mkato

Imeeandikwa mwanaume atakula kwa jasho.
 
Kwani unafikiri chawa hali kwa jasho, unacheza na kupumuliwa kisogoni aisee... lile ni jasho la damu
 
Muulize expert chawa Haji Sunday Manara.Wengine wanasingiziwa tu.
 
Wanaume kama mabinti

Sababu kuu ni kupenda maisha mazuri na hawataki kujituma,, wameamua kula kwa migono ya wanaume wenzao...

Uchawa ni kituo cha mwanzo mwanzo kabisa kuelekea kuwa shosti kamili..

Mama mchunge mwanao
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!

Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu upewe chochote kitu!?

Hizi tabia tungeziacha kwa wanawake wanaoweza kuishi kinafiki badala ya sisi wanaume!

Amtegemeaye binadamu na kumfanya kinga kwake amelaaniwa!
Aristoteeeeeeee
 
Back
Top Bottom