Wakuu mnawezaji kuwa chawa?

Wakuu mnawezaji kuwa chawa?

Sema watu mnao jifanya mnaakili mmeingia darasani ndio mnao Lia na Ugumu wa maisha kuliko ambao hawaja Soma.

Leo hii mnawaponda machawa wakati huo huo hao machawa wanapiga dili ndefu na mpunga mirefu kwa mwezi ambayo wengi wenu Hadi mzipate hizo hela inatakiwa mzikope au mjirundike mwaka mzima.

Mwenzenu kujiita chawa wa mtu fulani ni njia rahisi ya kutembelea umaarufu wa mtu na wewe ili uweze kuwa maarufu. Yaani ni Kama business partners flani hivi Ila mmoja lazima awe host mwingine parasite....yaani kunakua na mlishano flani hivi .

Kwa mfano diamond anahitaji kujitangaza kila siku ili aendelee kubaki masikioni mwa watu Kama ujuavyo watz tulivyo wasahaulifu Sasa ili uweze kufanikiwa hili inabidi uwatafute kila siku title za kuwapa watu waendelee kukujadiri Sasa kwa mambo yalivyo mengi hii si kazi ndogo. Anakuja mtu Kama babalevo yeye kila siku ni mtu wa kumuongelea mond hapa anamsaidia mond kuendelea kusikika masikioni mwa watu na yeye kupata sifa kutoka kwa watu wanao mpenda mond. Na ndipo nae kula yake inapo anzia na kuanza kuwa brand ambassador wa makampuni makubwa na kutengeza hela kwa huo umaarufu

Hapa vichwa panzi hawawezi nielewa
 
Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!

Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu upewe chochote kitu!?

Hizi tabia tungeziacha kwa wanawake wanaoweza kuishi kinafiki badala ya sisi wanaume!

Amtegemeaye binadamu na kumfanya kinga kwake amelaaniwa!
binafsi mimi siwezi na huwa naona aibu nikiwaona akina Baba Levo wanavyowasifia wanaume wenzao mpaka wanafika hatua ya kutamani kuwazalia kama wangekuwa wanawake [emoji33]
 
Itakua wanaliwa hao.

Ujue wanaume wanaotoa ndogo wengi wao akili zao hazijakaa sawa. We angalia tu hata town ukikutana na punga akili yake inavokua. Huwa wanajihami muda wote.

Sasa hao itakua ni mapunga, kadri siku zinavyoenda wataanza kulegea kabisa.

Afadhari hata wangekua chawa wa kiongozi wa serikali unaweza kusema wasipokua hivyo familia zao zitawekewa vikwazo ila hawa kina mwijaku, baba levo nk hizo ni pungasese tu.
 
Sina imani na machawa kutoa kisamvu cha kopo ni dakika O
 
Sema watu mnao jifanya mnaakili mmeingia darasani ndio mnao Lia na Ugumu wa maisha kuliko ambao hawaja Soma.

Leo hii mnawaponda machawa wakati huo huo hao machawa wanapiga dili ndefu na mpunga mirefu kwa mwezi ambayo wengi wenu Hadi mzipate hizo hela inatakiwa mzikope au mjirundike mwaka mzima.

Mwenzenu kujiita chawa wa mtu fulani ni njia rahisi ya kutembelea umaarufu wa mtu na wewe ili uweze kuwa maarufu. Yaani ni Kama business partners flani hivi Ila mmoja lazima awe host mwingine parasite....yaani kunakua na mlishano flani hivi .

Kwa mfano diamond anahitaji kujitangaza kila siku ili aendelee kubaki masikioni mwa watu Kama ujuavyo watz tulivyo wasahaulifu Sasa ili uweze kufanikiwa hili inabidi uwatafute kila siku title za kuwapa watu waendelee kukujadiri Sasa kwa mambo yalivyo mengi hii si kazi ndogo. Anakuja mtu Kama babalevo yeye kila siku ni mtu wa kumuongelea mond hapa anamsaidia mond kuendelea kusikika masikioni mwa watu na yeye kupata sifa kutoka kwa watu wanao mpenda mond. Na ndipo nae kula yake inapo anzia na kuanza kuwa brand ambassador wa makampuni makubwa na kutengeza hela kwa huo umaarufu

Hapa vichwa panzi hawawezi nielewa
Mwamba umeupiga mwingi uzi ulitakiwa uishie hapa
 
Ukitonga tu wa wanaume wa sasa, hawataki kufanya kazi kwa nguvu zao wanatafuta njia za mkato za kufanikiwa.

Ndo maana wamegeuka kuwa na tabia za kike za kujipendekeza.

Wanaliwa tigo, wanatoka na mama zao zote hizo ni njia za mkato

Imeeandikwa mwanaume atakula kwa jasho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Itakua wanaliwa hao.

Ujue wanaume wanaotoa ndogo wengi wao akili zao hazijakaa sawa. We angalia tu hata town ukikutana na punga akili yake inavokua. Huwa wanajihami muda wote.

Sasa hao itakua ni mapunga, kadri siku zinavyoenda wataanza kulegea kabisa.

Afadhari hata wangekua chawa wa kiongozi wa serikali unaweza kusema wasipokua hivyo familia zao zitawekewa vikwazo ila hawa kina mwijaku, baba levo nk hizo ni pungasese tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafiti wako umefanyia wapi? Au unadhan mapunga wa uswazi huko unaokutana nao kila siku, unadhan ndo wote wako hivyo?
 
Bachelor of Uchawa and praising to Celebrities, Business Tycoons and Politicians
Ni course mpya itaanza kutolewa mwakani pale chuoni maana soko lake ni kubwa kwa sasa na inalipa
,88,7,,,7,8,77,7,,,77g,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafiti wako umefanyia wapi? Au unadhan mapunga wa uswazi huko unaokutana nao kila siku, unadhan ndo wote wako hivyo?
Watakuja kua hivo tu siku moja.
Upunga ni tabia tu, utaificha weee ila mwisho wa siku utashindwa kuificha kuna signs utaanza kuzionesha watu wako wa karibu watang'amua tu.

Utaficha sana lakini so rahisi kuficha muda wote.
Hawa wa uswazi hawana fame kwao kua punga wengine ni fahari.
 
Back
Top Bottom