Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babalevo"Ningemzalia diamondi" huyu itakuwa kisamvu kinatafunwa
Diamond anaupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babalevo"Ningemzalia diamondi" huyu itakuwa kisamvu kinatafunwa
Aliongea hivyo ili watu mnao penda ujinga akae vichwani mwenu alafu muendelee kumfatilia[emoji23][emoji23][emoji23] Babalevo"Ningemzalia diamondi" huyu itakuwa kisamvu kinatafunwa
binafsi mimi siwezi na huwa naona aibu nikiwaona akina Baba Levo wanavyowasifia wanaume wenzao mpaka wanafika hatua ya kutamani kuwazalia kama wangekuwa wanawake [emoji33]Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!
Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu upewe chochote kitu!?
Hizi tabia tungeziacha kwa wanawake wanaoweza kuishi kinafiki badala ya sisi wanaume!
Amtegemeaye binadamu na kumfanya kinga kwake amelaaniwa!
Hauku lazimishwa kycomment kaa kimya kummmm aaa weweAliongea hivyo ili watu mnao penda ujinga akae vichwani mwenu alafu muendelee kumfatilia
Mwamba umeupiga mwingi uzi ulitakiwa uishie hapaSema watu mnao jifanya mnaakili mmeingia darasani ndio mnao Lia na Ugumu wa maisha kuliko ambao hawaja Soma.
Leo hii mnawaponda machawa wakati huo huo hao machawa wanapiga dili ndefu na mpunga mirefu kwa mwezi ambayo wengi wenu Hadi mzipate hizo hela inatakiwa mzikope au mjirundike mwaka mzima.
Mwenzenu kujiita chawa wa mtu fulani ni njia rahisi ya kutembelea umaarufu wa mtu na wewe ili uweze kuwa maarufu. Yaani ni Kama business partners flani hivi Ila mmoja lazima awe host mwingine parasite....yaani kunakua na mlishano flani hivi .
Kwa mfano diamond anahitaji kujitangaza kila siku ili aendelee kubaki masikioni mwa watu Kama ujuavyo watz tulivyo wasahaulifu Sasa ili uweze kufanikiwa hili inabidi uwatafute kila siku title za kuwapa watu waendelee kukujadiri Sasa kwa mambo yalivyo mengi hii si kazi ndogo. Anakuja mtu Kama babalevo yeye kila siku ni mtu wa kumuongelea mond hapa anamsaidia mond kuendelea kusikika masikioni mwa watu na yeye kupata sifa kutoka kwa watu wanao mpenda mond. Na ndipo nae kula yake inapo anzia na kuanza kuwa brand ambassador wa makampuni makubwa na kutengeza hela kwa huo umaarufu
Hapa vichwa panzi hawawezi nielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Ukitonga tu wa wanaume wa sasa, hawataki kufanya kazi kwa nguvu zao wanatafuta njia za mkato za kufanikiwa.
Ndo maana wamegeuka kuwa na tabia za kike za kujipendekeza.
Wanaliwa tigo, wanatoka na mama zao zote hizo ni njia za mkato
Imeeandikwa mwanaume atakula kwa jasho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafiti wako umefanyia wapi? Au unadhan mapunga wa uswazi huko unaokutana nao kila siku, unadhan ndo wote wako hivyo?Itakua wanaliwa hao.
Ujue wanaume wanaotoa ndogo wengi wao akili zao hazijakaa sawa. We angalia tu hata town ukikutana na punga akili yake inavokua. Huwa wanajihami muda wote.
Sasa hao itakua ni mapunga, kadri siku zinavyoenda wataanza kulegea kabisa.
Afadhari hata wangekua chawa wa kiongozi wa serikali unaweza kusema wasipokua hivyo familia zao zitawekewa vikwazo ila hawa kina mwijaku, baba levo nk hizo ni pungasese tu.
,88,7,,,7,8,77,7,,,77g,Bachelor of Uchawa and praising to Celebrities, Business Tycoons and Politicians
Ni course mpya itaanza kutolewa mwakani pale chuoni maana soko lake ni kubwa kwa sasa na inalipa
Watakuja kua hivo tu siku moja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafiti wako umefanyia wapi? Au unadhan mapunga wa uswazi huko unaokutana nao kila siku, unadhan ndo wote wako hivyo?