Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Bachelor of Uchawa and praising to Celebrities, Business Tycoons and PoliticiansYaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!
Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu upewe chochote kitu!?
Hizi tabia tungeziacha kwa wanawake wanaoweza kuishi kinafiki badala ya sisi wanaume!
Amtegemeaye binadamu na kumfanya kinga kwake amelaaniwa!
Wee taratibu yule ni legend wetu wa simba tena mtake radhi kabisaa unawezaje kusema utopolo wako kwa mwanachama kindakindaki wa msimbazi .Tumuulize Kijana mwenzetu okwi boban sunzu amewezaje kuwa chawa wa Mwamedi.
Kwani unafikiri chawa hali kwa jasho, unacheza na kupumuliwa kisogoni aisee... lile ni jasho la damuUkitonga tu wa wanaume wa sasa, hawataki kufanya kazi kwa nguvu zao wanatafuta njia za mkato za kufanikiwa.
Ndo maana wamegeuka kuwa na tabia za kike za kujipendekeza.
Wanaliwa tigo, wanatoka na mama zao zote hizo ni njia za mkato
Imeeandikwa mwanaume atakula kwa jasho.
Afu eti uyu nae aliwahi kua diwani[emoji26][emoji23][emoji23][emoji23] Babalevo"Ningemzalia diamondi" huyu itakuwa kisamvu kinatafunwa
Uchawa hauchagui Uligendary wala ukada.Wee taratibu yule ni legend wetu wa simba tena mtake radhi kabisaa unawezaje kusema utopolo wako kwa mwanachama kindakindaki wa msimbazi .
AristoteeeeeeeeYaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake!