[emoji23] [emoji23]Una hasira na kanjibhay ee
Acha kabisa hiyo kitu, pesa yako itapotea bure.Wakuu,
Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magufuli, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.
Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha. Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine nitajiongeza.Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge.
Ni kama nyetoNajuta kujua kubet .siwezi kuacha kabisa hii mambo..sikushauri uingie huku hakufai kabisa.
Ni kama kula nyama ya mtu asee huwezi kuacha.Ni kama nyeto