Wakuu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hapa tecno kaanza kustaarabika

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Screenshot_20221209-124124.jpg
Screenshot_20221209-124029.jpg
 
Tecno brand yake bado niya hovyo..labda wabadili jina.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona hyo chantonto kwa camon 19pro, hiyo ina 50MP camon ina 64
Hiyo 5000 mah camon ina 6000
Kuna camon internal ina 256gb hiyo ina 128gb
 
Una uhakika hizo pixel tajwa ndio zinsfanya kazi, si ajabu hapo ukakuta kamera moja peke ndio inafanya kazi zingine urembo ,sitojuitia au kuumia siku nikiambiwa tecno imeshindwa kuendelea kibiashara
 
Camon 19 pro bado sana haina ubavu wa kushindana na hiyo simu
 
Una uhakika hizo pixel tajwa ndio zinsfanya kazi, si ajabu hapo ukakuta kamera moja peke ndio inafanya kazi zingine urembo ,sitojuitia au kuumia siku nikiambiwa tecno imeshindwa kuendelea kibiashara
Hua kila camera ina kazi yake na hua hazifanyi kazi kwa pamoja kila kamera inafanya kazi peke yake
 
Mimi naona bado yuko mbali , yaani nikiona CPU ni mediatek asee tecno bado ni dhaifu tu.
 
Back
Top Bottom