Wakuu,msaada juu ya ku-certify vyeti

Wakuu,msaada juu ya ku-certify vyeti

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Wakuu, ni jumatatu nyingine bila shaka kila mmoja yuko kwenye harakati za ujenzi wa taifa. Naomba kusaidiwa juu ya utaratibu wa kucertify vyeti kwa ajili ya maombi ya kazi.

Je inaruhusiwa ku certify vyeti kisha ukapiga coppy ile copy ambayo wakil alicertify ukawa unazitumia hizo coppy kuomba kazi au nilazima kila mara utumie original certified coppy?.

Naomba msaada wakuu.
 
Wakuu, ni jumatatu nyingine bila shaka kila mmoja yuko kwenye harakati za ujenzi wa taifa. Naomba kusaidiwa juu ya utaratibu wa kucertify vyeti kwa ajili ya maombi ya kazi. Je inaruhusiwa ku certify vyeti kisha ukapiga coppy ile copy ambayo wakil alicertify ukawa unazitumia hizo coppy kuomba kazi au nilazima kila mara utumie original certified coppy?.Naomba msaada wakuu.

Unatoa copy then ndo unampelekea wakili apige mhuri na sahihi zile copy
 
Mkuu shalolizo,asante ila swali ni je nitalazimika kwenda kwa wakili kila nikihitaji kucertify au naweza nikacertify mara moja nikapiga coppy hiyo certified document nikawa ninatuma application kila nikitaka kutuma application iliyo ambatanishwa na certified certificates?
 
Kopi ya vyeti gani au ni ya Elimu ya Juu? kama ni vya Baraza la Mitihani sidhani kama kuna huduma hiyo...
 
Ukishacertify we piga KOPI hiyo Certified kopi.ENOUGH.....
 
...haiwezekani certified copy ukaitoa tena copy, maana ya ku certify ni kuthibitisha kuwa original copies are true, ingekuwa ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuzi certify maana hata original copies zina mihuri yake. kuna mdau kasema toa copies idadi upendayo alafu uende ukazi certify zote. kama kuna mtu alishawahi kutumia copy of certified copy alafu akafanikiwa ajue kuwa haikuwa sahihi, so hiyo isihalalishe huo utaratibu.
 
Wakuu, ni jumatatu nyingine bila shaka kila mmoja yuko kwenye harakati za ujenzi wa taifa. Naomba kusaidiwa juu ya utaratibu wa kucertify vyeti kwa ajili ya maombi ya kazi.

Je inaruhusiwa ku certify vyeti kisha ukapiga coppy ile copy ambayo wakil alicertify ukawa unazitumia hizo coppy kuomba kazi au nilazima kila mara utumie original certified coppy?.

Naomba msaada wakuu.

Sijajua kwa sheria za Tanzania zikoje, lakini kwa baadhi ya nchi, alitetoa Cheti/ Certificate ndio anapaswa kukicertify hicho cheti, wakiwa na maana kwamba utakapo mpa wakili yeye anachofanya ni kuangalia kile cheti na copy yake kama vinafanana na kisha anapiga muhuri kusema hii ni copy ya original

lakini kwa mtoa cheti hawezi kucertify cheti bila kwanza kuangalia authenticity ya hicho cheti, kwa maana ataangalia kama kweli hili jina lilipita hapo chuoni na hicho cheti kiko kwenye standard zao, hivyo wao wakicertify inakuwa ina uzito zaidi, kama nilivyosema hapo awali sijuhi kwa Tanzania

kwa ziada tu Huwezi kupeleka photocopy ya certified copy, hivyo kila unapotuma cheti inakupasa kiwe na muhuri na sahihi fresh
 
Wakuu, ni jumatatu nyingine bila shaka kila mmoja yuko kwenye harakati za ujenzi wa taifa. Naomba kusaidiwa juu ya utaratibu wa kucertify vyeti kwa ajili ya maombi ya kazi.

Je inaruhusiwa ku certify vyeti kisha ukapiga coppy ile copy ambayo wakil alicertify ukawa unazitumia hizo coppy kuomba kazi au nilazima kila mara utumie original certified coppy?.

Naomba msaada wakuu.

Unapoomba kazi sio lazima utume certified copy, labda kama wamesema uambatanishe certified copy. Kama utapita kwenye mchujo (shortlisting) na kuitwa kwenye interview, kuna wakati utatakiwa kuonyesha cheti halisi au certified copies, lakini sio hatua ile ya mwanzo kabisa ya kuomba kazi. Na ukiona kampuni inayoajiri inadai certified copy wakati wa application, basi ujue unataka kujiunga na kampuni ambayo mameneja wake wa utawala ni vilaza na vihiyo, afadhali hata usiende huko.
 
Back
Top Bottom