al-baajun
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 283
- 209
Habari wadau,
Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo).
Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya utalii vya Bei rahisi ambavo Vipo Moshi na vitongoji vyake Ili tuende kutembelea.