Mchana wao hawatembei? Kwa usiku ni ngumu kuwapeleka mbuga za wanyama, waterfalls, nkNaomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,
Mmh umeujuaje mto Rau[emoji2][emoji2]Kwani lazima wafurahi? Wapeleke hata mto rau ukawatupe kule wakafe japo maji machache
Sasa Pm ya nini? Ujinga huu.Mkuu nakutafuta PM tuongee moshi kuna sehemu nzuri sana you will real enjoy wewe na wageni wako, tafadhali fungua PM yako sincerely wageni wako lazima waenjoy.....
OK, kwanza nikupe ushauri kama mtu ninayewajuwa wazungu vizuri wa type zote kwenye utalii.Habari wadau,
Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo).
Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya utalii vya Bei rahisi ambavo Vipo Moshi na vitongoji vyake Ili tuende kutembelea.
"Wasisahau kuyaoga hayo maji huwa yana miujiza yake 100% powerful and same to maji ya upako maalum. " wapande mlima kilimanjaro pia sio vibaya!Marangu waterfalls watafurahi sana.
Kwingine subiri wadau
Kupanda Mlima ni arrangements mtu anapanga hata kwa mwaka mmoja kabla, siyo kwa sababu kaja Tanzania mpaka Moshi basi upande mlima, wazungu wanaishi kwa program na budget."Wasisahau kuyaoga hayo maji huwa yana miujiza yake 100% powerful and same to maji ya upako maalum. " wapande mlima kilimanjaro pia sio vibaya!
Si vibaya uzuri huo ukauweka hapa ili wengi tufaidike na uzuri wa mkoa na mji huu wa kipekee wa moshi hapa Tanzania.Mkuu nakutafuta PM tuongee moshi kuna sehemu nzuri sana you will real enjoy wewe na wageni wako, tafadhali fungua PM yako sincerely wageni wako lazima waenjoy.....
Kili ndio nyumbani mkuuMmh umeujuaje mto Rau[emoji2][emoji2]