NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Wakuu heshima kwenu, naomba mwenye ufahamu anijuze
naomba kufahamu shule nzuri za private za sayansi za kidato cha tano na sita. Itakuwa vema kama nikipata majina ya shule zenye gharama mbalimbali mfano zile za st, na zile zenye gharama za kawaida zinazofanya vema kwa dar.Natanguliza heshima mbele.