Wakuu msaada wenu hili neno linajirudia kwenye simu yangu

Wakuu msaada wenu hili neno linajirudia kwenye simu yangu

Mara nyingi hutokea simu ikiwa connected na Bluetooth ama Wi-Fi, since unasema hujaviwasha then ni ajabu. May be jaribu kuweka airplane mode kwa dk chache zima. Iwe una refresh connections zako zote.
Yangu nikipiga hunijibu your phone is recorded.hpa vipo mkuu.
 
Hili neno la connected to other device successfully linajirudia kwenye screen ya simu yangu tangia Jana je nawezaje kulitoa
Kama ya mkopo hauwezi kulitoa.
Kama ya wizi hauwezi kulitoa.
Kama umehongwa hauwezi kulitoa.
 
Back
Top Bottom