Kijana wangu kamaliza form four Mwaka jana 2023. Kafanya vizuri Masomo yake yote ana div one B 6 na C 1. Alikuwa ana chukua Masomo ya science. Kachaguliwa kwenda kusoma tahasusi ya PCB. Yeye hataki anataka akasome EGM, je ina wezekana wakati hakusoma commerce wala accounts O level? Naomba msaada wenu ndugu zangu.