wakuu msaada wenu muhimu hapa

wakuu msaada wenu muhimu hapa

si unajua tunaweza panga sikuhiyo twende mara siku tunakutana unashangaa mtu anasema haya sema ulichokua unaandika kule kwenye jukwaa lenu.

hahaaa lol!!!
utanywea mwenyewe
usijali siku zikikaribia tukutane tupange mkakati kwanza...
 
Pole sana mkuu kwa yote yanayokukuta. Kuna baadhi ya mambo nataka kuyajua,
1. Je, mlifunga ndoa? ya kikristu au ya kiislamu,
2. Mahusiano yenu ya kidini yakoje? au wewe dini gani na yeye dini gani?
3. Wazazi wa pande zote mbili wanayajua haya? Bila shaka wanayajua, Je na wao wanasemaje?
 
ndoa hatukufunga mkuu,kwani alipata mimba,dini sie wote wakristu,wazazi wanayajua lakini kama nilivosema alimtukana mamaangu kipindi ametaka atukutanishe asuluhishe,kisha wazazi wake mimi alishaniharibia pale alikua anawasimulia mambo ya uongo ili wawe na picha mbaya kuhusu mimi wasinisikilize
 
Unajua kidogo niishie njiani maana nilikuwa nasoma tu sifikiii nukta au aya nyingine. Kama si utamu wa hadithi Hakika nisingemaliza.
BASI MI NAMSHAURI SHEM AACHE TU HUYO MTOTO AKAE NA MAMA YAKE ILA KABLA YA YOTE WAKAPIME DNA KWANZA!
 
Back
Top Bottom