Wakuu msaada wenu tafadhali

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Namtafuta Dr. Danny Njau yule alayegundua dawa ya figo na homa ya INI.

Huyu Doctor alikuwa anahojiwa na ITV week iliyopita katika kipindi cha asubuhi KUMEKUMEKUCHA ITV.

Pia taarifa zake ziliandikwa katika gazeti la MTANZANIA La Jana.

Tafadhali yeyote mwenye mawasiliano nae au mawasiliano na huduma zake anipe ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…