Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Unategemea kupokea kias gan monthly?Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada
Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na Mungu atakubariki.
kuanzia laki 2+ mkuu itakua vizuriUnategemea kupokea kias gan monthly?
Unaweza kukaa kambi? Una umri gani n uko wapi?kuanzia laki 2+ mkuu itakua vizuri
umri miaka 26 nipo mahonda zanzibar ndio naweza kukaa kambi japo ungeeleza kidogo kwa nin nalazimika kukaa kambiUnaweza kukaa kambi? Una umri gani n uko wapi?
Kumbe upo humuhumu.. nenda paje kuna kampuni ya ulinzi inaitwa black rock unaweza kupata ingawa hapo mwankwerekwe kampun nyingi tu unapata kaziumri miaka 26 nipo mahonda zanzibar ndio naweza kukaa kambi japo ungeeleza kidogo kwa nin nalazimika kukaa kambi
duh! Noma kweli vp site za ujenzi mkuu lete locationKumbe upo humuhumu.. nenda paje kuna kampuni ya ulinzi inaitwa black rock unaweza kupata ingawa hapo mwankwerekwe kampun nyingi tu unapata kazi
Ujinga wa kampuni za ulinzi nisije nikakuunga sehem ukaenda mwisho ukalipwa kwa tabu ikawa kama nimekuchonja. Wewe pambana mwenyewe kampuni hizo zipo kibao
MkuuKumbe upo humuhumu.. nenda paje kuna kampuni ya ulinzi inaitwa black rock unaweza kupata ingawa hapo mwankwerekwe kampun nyingi tu unapata kazi
Ujinga wa kampuni za ulinzi nisije nikakuunga sehem ukaenda mwisho ukalipwa kwa tabu ikawa kama nimekuchonja. Wewe pambana mwenyewe kampuni hizo zipo kibao
YesMkuu
Niunge na Mimi kiongozi hizo nafasi za kazi
kuanzia laki 2 mkuu sio mbayaUnategemea kupokea kias gan monthly?
ungekua BARA ungepata kazi.kuanzia laki 2 mkuu sio mbaya
ungekua BARA ungepata kazi.[/QUOTE]Tupatie msaada ndugukuanzia laki 2 mkuu sio mbaya
ungekua BARA ungepata kazi.[/QUOTE]Nisaidie ndugu yangukuanzia laki 2 mkuu sio mbaya