Wakuu mwenye connection ya kampuni za ulinzi Zanzibar tafadhali

Mr simple M

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
2,202
Reaction score
4,653
Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada

Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na Mungu atakubariki.
 
umri miaka 26 nipo mahonda zanzibar ndio naweza kukaa kambi japo ungeeleza kidogo kwa nin nalazimika kukaa kambi
Kumbe upo humuhumu.. nenda paje kuna kampuni ya ulinzi inaitwa black rock unaweza kupata ingawa hapo mwankwerekwe kampun nyingi tu unapata kazi

Ujinga wa kampuni za ulinzi nisije nikakuunga sehem ukaenda mwisho ukalipwa kwa tabu ikawa kama nimekuchonja. Wewe pambana mwenyewe kampuni hizo zipo kibao
 
duh! Noma kweli vp site za ujenzi mkuu lete location
 
Kumbe upo humuhumu.. nenda paje kuna kampuni ya ulinzi inaitwa black rock unaweza kupata ingawa hapo mwankwerekwe kampun nyingi tu unapata kazi

Ujinga wa kampuni za ulinzi nisije nikakuunga sehem ukaenda mwisho ukalipwa kwa tabu ikawa kama nimekuchonja. Wewe pambana mwenyewe kampuni hizo zipo kibao
Mkuu
 
Kuna mtu hum jf aliwah kuunganishwa sehem na mdau wangu wa karibu alivyoanzaga kazi ikawa kajiong3za na mishe za ufundi akawa anapata pata pesa. Mwisho wa siku kuunganisha wenzie kwenye kiwanda cha matofali anakofanya yeye ikawa mbinde, simu hapokei meseji hajibu.

Kuna siku akamjibu mtu "ukiona hujibiwi meseji na hupokelewi simu jiongeze mzee". Kashasahau kabisa kama watu walibeba risk kwenda sehem bila konekshen kuyajenga mpaka leo hii kapewa yeye ramani.

Ubinadam kazi sana wakuu,
Kalaga baho
 
Back
Top Bottom