Wakuu mwenye connection ya kampuni za ulinzi Zanzibar tafadhali

Mkuu Mimi sitakulaumu Kwa lolote naelewa mambo ya utafutaji it always not easy ninachokuomba Ni wewe kunipa uzoefu wako na kampuni za ulinzi unazozifahamu hazina kawaida ya ubabaishaji ua kazi nyingine nazoweza kupata Kwa uharaka

Pia Nina uwezo mzuri wa kuzungumuza lugha ya kiingeleza. Nipe uzoefu wako mkuu
 
Panga safari nenda mpaka sehemu inaitwa Mnala wa mbao kama unatokea mjini pitia Kariakoo ama unaweza panda gari zinazo toka uwanja wa ndege huwa zinapita pale, pale kuna ofisi ya kampuni ya ulinzi inaitwa ASK B. Ukifika uliza wenyeji watakuonyesha ofisi zao, fika pale ulizia utaratibu wa kujiunga kisha fuata kama wanavyo taka.

Hiyo kampuni kwa huko Zanzibar kwa zile kampuni zisizo kuwa na majina makubwa angalau ndio naona haina ubabaishaji ata malipo yao yapo vizuri. Nenda kajaribu bahati yako maana hii kampuni mara nyingi askari wake hutoka mkoa wa Mwanza na wana ofisi na kambi kwenye huo mkoa. Pia ukitaka kampuni za ubabaishaji nitakutajia ila hiyo ni juu yako.

Vilevile kwa inshu nyingine kama ulivyo dai kuwa una uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya Kiingereza. Kwa Zanzibar hoteli ni nyingi sana kama hauna familia inayokutegemea unaweza tafuta hoteli yenye hadhi ukapiga trainii mfano kwenye sekta ya mapokezi. Hapo utapata mafunzo ndani ya miezi mitatu kisha unatafuta ajira ni chaap tu unapata. Ila kwa sasa sikushari maana inaelekea low season hivyo unaweza subiri kwenye high season kuanzia mwezi wa sita. Kwa sasa fuatilia hiyo ya ulinzi ili ukute unapata chochote kitu, kila la kheri.

Panga safari nenda mpaka sehemu inaitwa Mnala wa mbao kama unatokea mjini pitia Kariakoo ama unaweza panda gari zinazo toka uwanja wa ndege huwa zinapiga pale, pale kuna ofisi ya kampuni ya ulinzi inaitwa ASK B. Ukifika uliza wenyeji watakuonyesha ofisi zao, fika pale ulizia utaratibu wa kujiunga kisha fuata kama wanavyo taka.

Hiyo kampuni kwa huko Zanzibar kwa zile kampuni zisizo kuwa na majina makubwa angalau ndio naona haina ubabaishaji ata malipo yao yapo vizuri. Nenda kajaribu bahati yako maana hii kampuni mara nyingi askari wake hutoka mkoa wa Mwanza na wana ofisi na kambi kwenye huo mkoa. Pia ukitaka kampuni za ubabaishaji nitakutajia ila hiyo ni juu yako.

Vilevile kwa inshu nyingine kama ulivyo dai kuwa una uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya Kiingereza. Kwa Zanzibar hoteli ni nyingi sana kama hauna familia inayokutegemea unaweza tafuta hoteli yenye hadhi ukapiga trainii mfano kwenye sekta ya mapokezi. Hapo utapata mafunzo ndani ya miezi mitatu kisha unatafuta ajira ni chaap tu unapata. Ila kwa sasa sikushari maana inaelekea low season hivyo unaweza subiri kwenye high season kuanzia mwezi wa sita. Kwa sasa fuatilia hiyo ya ulinzi ili ukute unapata chochote kitu, kila la kheri.
Shukran kwa kunisadia kujibu haya, lakin huu mwez wa tatu akipiga trainee itafaa mana mwez wa sita high season atakuwa kashamaliza mafunzo. Jf kuna watu vichwa vya ajabu sana humu, unaweza kuunganisha mtu kwa wema ikaja kuwa balaa mbeleni. Makampuni ya ulinzi shughuli zake zinaeleweka, ushafanya kazi mwez mzima unakuja kuambiwa mteja unaemlindia hajalipa hela kumbe washaila

Industry ya hospitality Unguja ni kubwa kubatle life. Kama dogo atakuwa seriously nadhan atakutafuta umsaidie
 
Mkuu Mimi sitakulaumu Kwa lolote naelewa mambo ya utafutaji it always not easy ninachokuomba Ni wewe kunipa uzoefu wako na kampuni za ulinzi unazozifahamu hazina kawaida ya ubabaishaji ua kazi nyingine nazoweza kupata Kwa uharaka

Pia Nina uwezo mzuri wa kuzungumuza lugha ya kiingeleza. Nipe uzoefu wako mkuu
Up 2 date ipo Kwerekwe hapo..ila malipo huwaga ni mwezi unaofuata tarehe 5
 
Kuna kampuni Iko Mwanza inachukua walinzi kupeleka Zanzibar.
 
Mshahra 250 makaz unapewa. Mbona dogo hayo maajira ya hivyo unguja kibao tu? Konekshen ya hizi kazi za kipumbavu?
uko sawa lakini mimi ni mgeni kabisa hapa unguja sina nijualo that's why nimekuja kutafuta muongozo huku.
 
Mr simple M haya maelezo uliyasoma? Jaribu kufanyia kazi hichi kilicho andikwa hapa.

Back
Top Bottom