Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
Kipindi cha masikaNilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
Jenga kuanzia mwezi wa saba hadi mwezi wa pili au tatu. Mvua za masika zikianza unapumzika hadi ziishe. Kama utaezeka mtindo wa kawaida usiezeke acha boma linyeshewe. Kama utaezeka mtindo wa kuficha paa ezeka ili masika ikuoneshe mbivu na mbichi 🤣🤣🤣Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
Kwa nini boma linyeshewe mvua?Jenga kuanzia mwezi wa saba hadi mwezi wa pili au tatu. Mvua za masika zikianza unapumzika hadi ziishe. Kama utaezeka mtindo wa kawaida usiezeke acha boma linyeshewe. Kama utaezeka mtindo wa kuficha paa ezeka ili masika ikuoneshe mbivu na mbichi 🤣🤣🤣
Mwezi ambao una hela.Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
Ile kunyeshewa na mvua kuna faida gani ?Jenga kuanzia mwezi wa saba hadi mwezi wa pili au tatu. Mvua za masika zikianza unapumzika hadi ziishe. Kama utaezeka mtindo wa kawaida usiezeke acha boma linyeshewe. Kama utaezeka mtindo wa kuficha paa ezeka ili masika ikuoneshe mbivu na mbichi 🤣🤣🤣
Hizi hasira sio bure, kuna shida mahali fulani.Tafuta hela mkuu wew hauna hela mwenye hela huwa anatenda na sio kuimba taarabu za adija kopa Kama wew unavyo fanya....
Inakomaza boma, linakuwa imara.Ile kunyeshewa na mvua kuna faida gani ?
Sikujua hilo. Kwa hiyo nikiacha kwa almost mwakai mmoja inatosha ?Inakomaza boma, linakuwa imara.
Litakuwa imara sana sababu limeinyeshewa vya kutosha. Ni imara zaidi ya mtu aliyejenga haraka na kuhamia.Sikujua hilo. Kwa hiyo nikiacha kwa almost mwakai mmoja inatosha ?