Wakuu mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi Kibaha

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
 
Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
Jenga kuanzia mwezi wa saba hadi mwezi wa pili au tatu. Mvua za masika zikianza unapumzika hadi ziishe. Kama utaezeka mtindo wa kawaida usiezeke acha boma linyeshewe. Kama utaezeka mtindo wa kuficha paa ezeka ili masika ikuoneshe mbivu na mbichi 🤣🤣🤣
 
Kwa nini boma linyeshewe mvua?
 
Ile kunyeshewa na mvua kuna faida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…