Wakuu naenda zangu fungateni!!!

Wakuu naenda zangu fungateni!!!

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Wakuu nita-disappear JF anytime from now for unforeseeable time (pls don't ask for more details), naenda fungateni kwetu Songea (pls don't ask for more details), ila nikipata kijinafasi nitakuwa nachungulia japo nigonge kile kitufe!

Aaaaha! nitawamisije wanaMMU....!!!

Hapa chini ngoja niweke kibonzo cha kuwaageni:

"wanaume wa bongo wakiingia ulaya, hali ya hewa ya ulaya inaathiri heshima ya bomba kushuka na nguvu hupotea kabisa, matokeo yake jogoo anagoma kuwika hata upepee na feni"

Vipi na wewe ulishawahi kusikia hii kitu?
 
Enjoy every minute of it, hopefully katoto katatengenezwa muda huo!

As for ur swali, jibu langu ni:
SIJUI
 
Kila la heri Kaka huko uendako.... Wasalimie sana.
 
Wakuu nita-disappear JF anytime from now for unforeseeable time (pls don't ask for more details), naenda fungateni kwetu Songea (pls don't ask for more details), ila nikipata kijinafasi nitakuwa nachungulia japo nigonge kile kitufe!

Aaaaha! nitawamisije wanaMMU....!!!

Hapa chini ngoja niweke kibonzo cha kuwaageni:

"wanaume wa bongo wakiingia ulaya, hali ya hewa ya ulaya inaathiri heshima ya bomba kushuka na nguvu hupotea kabisa, matokeo yake jogoo anagoma kuwika hata upepee na feni"

Vipi na wewe ulishawahi kusikia hii kitu?

Hongera kwa uamuzi uliochukua pia tunakutakia kila la heri kwenye mapumziko na shemeji. Nyumbi hii bombi ii. Pia ili jogoo awike sana mrushie malombe bila kusahau pitiku na likoronanyungu. Usijitenge na mchezo wa madogoli, chomanga au masosolo.
 
Kila la heri mkuu, huu ni muda mzuri sana wa kujenga heshima.
 
umekula dona la kutosha?...huko unatakiwa kwenda kuweka heshima

sio arudi hapa na stori oh hivi wanawake mnataka mfanyiwe nini kunako bed!tutamchapaje!kaka kila la kheri KAWEKE HESHIMA YA KIUME HUKO!
 
Wakuu nita-disappear JF anytime from now for unforeseeable time (pls don't ask for more details), naenda fungateni kwetu Songea (pls don't ask for more details), ila nikipata kijinafasi nitakuwa nachungulia japo nigonge kile kitufe!

Aaaaha! nitawamisije wanaMMU....!!!

Hapa chini ngoja niweke kibonzo cha kuwaageni:

"wanaume wa bongo wakiingia ulaya, hali ya hewa ya ulaya inaathiri heshima ya bomba kushuka na nguvu hupotea kabisa, matokeo yake jogoo anagoma kuwika hata upepee na feni"

Vipi na wewe ulishawahi kusikia hii kitu?

Kila la kheri. Furaha mliyoondoka nayo hapa hakikisha ndiyo hiyo hiyo mnarudi nayo na kuidumisha kwenye familia yako mpya. Kumbuka kuwa amani ndani ya ndoa hujengwa na wanandoa wenyewe hivyo jikatae kabisa kwa vicheche!
 
Huko fungateni kutakuwa na kudeka na kudekezana au ni mwenda wa "lala nikulalie"?!

Loh, yaani umenifanya nishindwe kujizuia kuandika kitu, akyanani umeni-attack!! utadhani The Boss na Kaunga,,,,,,
 
Kila la kheri mito .....msalimie huyo wifi etu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huko Songea mtandao ni issue kupatikana hata ukipanda milimani au juu ya nguzo!! Labda utuambie chungu kipya kimetoa masharti magumu, wewe na mimi mimi na wewe na siyo JF, MMU.
 
dah hongera na kila la heri, have the greatest moment, the way mtakavyo have fun na iwe hivyohvyo mkirudi na katika maisha yenu yote katika ndoa
 
mbona kama swali lako lina walakini.........kipindikama hiki hupaswi kua na chembe ya wasiwasi kunako nguvu za mhogo..........kama mnapasha kiporo moto apo sawa,,,ila kama ndo mwanamwali uliefuata taratibu zote tena akakataa kwenda kwa padre prega..kazi unayo!!!!!!

timiza wajibu wako kama mwanaume........mambo ya dakika 1 tayari hayatakiwi tunaamini umeshajifunza vya kutosha......nimemaliza
 
Back
Top Bottom