King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Wakuu!
Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa.
Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari 😅 aseee sijui nani alileta huu ugonjwa. Tangu jana najisahula kama sijielewi elewi hivi, usiombe yakukute mkuu.
Tatizo magonjwa haya siyo poa mara
UKIMWI
STDs
UTI
Sukari DM
Blood Pressure
Ngiri maji
Tezi dume
Covid 19
Cancer
Hepatits B n.k
Disorders kibao sijui kidole tumbo
Nipeni matumaini wakuu.