chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kikubwa ni kuepuka zinaa kwa sababu saivi kuna hepatitis inatembea sana haswa jijini hapa tuwe makini ama basi mkajichanje chanjo MNH inatolewa
Ni bei gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa ni kuepuka zinaa kwa sababu saivi kuna hepatitis inatembea sana haswa jijini hapa tuwe makini ama basi mkajichanje chanjo MNH inatolewa
Hongera sana yako poaNishapima sasa hivi wakuu majibu yako hapo juu.
Mi sipimi mpaka ninunuliwe kipimo😋😋😋 Eeeh friend Asante sana kila jambo kwako likawe lepesi.
Noo, mwanangu ndo kwanza ana mwaka.Niogope nn,vipimo wakati wa uzazi ndo vyanipa kiburi😅 Sema unaogopa tu
Sidhani kama hilo linawezekanaBasi mshauri mwenzako mtengeneze mazingira ya kupimana
Sijui yeye lakini mimi nachepuka sana kwa maneno kuliko vitendo...siku nikitenda kweli nahisi itakuwa fungulia mbwa.So ngoja nikitulize nilee watoto mkuuKwa hiyo yeye au wew mtaendelea chepuka kama kawa