Kipindi anaenda kufakamia uliomba ushauri??Wakuu!
Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa.
Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu.
Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari [emoji28] aseee sijui nani alileta huu ugonjwa.
Tangu jana najisahula kama sijielewi elewi hivi, usiombe yakukute mkuu.
Disorders kibao sijui kidole tumbo
Nipeni matumaini wakuu.
Kipindi anaenda kufakamia uliomba ushauri??
Hicho ndio mavuno yako apanda mtu ndio avunacho
Unachokitafuta ipo siku utakipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu!
Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa.
Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari [emoji28] aseee sijui nani alileta huu ugonjwa. Tangu jana najisahula kama sijielewi elewi hivi, usiombe yakukute mkuu.
Tatizo magonjwa haya siyo poa mara
UKIMWI
STDs
UTI
Sukari DM
Blood Pressure
Ngiri maji
Tezi dume
Covid 19
Cancer
Hepatits B n.k
Disorders kibao sijui kidole tumbo
Nipeni matumaini wakuu.
Saa hii yule rafk yako amekuwa wewe sasa.Sasa wakuu sio mara ya kwanza kwa mimi kupima lakini hofu ilikuwepo nina miezi 4 hivi nilikuwa busy na kazi so sijakutana na shem wenu wala malaya yeyote tangu miezi hiyo
ila mwaka jana mwezi wa 12 nilitmba kavu kademu kamoja kauswahilini fulani yaaani hiyo siku sijui nilikula maharage ya wapi nikakafakamia na kilikuwa kumbe hakijamaliza period yake vizuri sasa wakati naingiza damu mmmh hakakuniambia na mimi ilinikera mnoo ile hali nilitaka kulia afu sinaga mazoea na kavu. Nikaka mwezi nikapima HIV virus amna kitu.
nataka tukapime na shem wenu lakini kabla ya hapo nimesha amua kujipima tayari kabla ya kwenda naye tena na vipimo vimeonesha hivi
View attachment 1836548
Sasa wakuu sio mara ya kwanza kwa mimi kupima lakini hofu ilikuwepo nina miezi 4 hivi nilikuwa busy na kazi so sijakutana na shem wenu wala malaya yeyote tangu miezi hiyo