Wakuu Nahitaji Aina Hii Ya Piki Piki Je Kwa Tanzania Naweza Kuzipata Wapi... ?! Hasa Nikiwa Dar Es Salaam

Za boko haram hizo, shauri yako!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Ndiyo mkuu,nadhani ni economical kwenye mafuta as long as unaweza kukiendesha kama baiskel

Sent from my TV

Ndio Mkuu, hicho kiwanda cha Batavus cha kidutch likiuwa kwanza na kazi ya kuunga Baiskel kutoka German kisha wao wenyewe wakaanza kitengeneza Baiskel na kisha wakaanza kuziwekea mota, ji nzuri sana siku hizi hazipo sana haoa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…