Navuta bangi
Member
- Aug 14, 2020
- 80
- 160
- Thread starter
-
- #21
[emoji3][emoji3]kwani akili ya bangi ipoje mkuuMkuu isije ikawa ni akili ya bangi maana jina lako linajieleza
We jamaa kumbe unakula Ndumu 🙄 sikuona[emoji3][emoji3]kwani akili ya bangi ipoje mkuu
[emoji3][emoji3]ndio mzee, ndumu nakula sana tuWe jamaa kumbe unakula Ndumu [emoji849] sikuona
Dah pole sana mkuu, acha uhuni lakini si una mke[emoji3][emoji3]ndio mzee, ndumu nakula sana tu
Inataka kushabihiana na wagonjwa kwenye hospitali yetu pendwa ya Mirembe[emoji3][emoji3]kwani akili ya bangi ipoje mkuu
sema bangi sio mbaya kama watu wengi wanavozania....inategemeana tu na kichwa chako...kama una kichwa kibovu ukivuta lazima ikuathiri, unaweza kuwa ata kichaa...ila kama una kichwa kizuri haina shida..tena ni nzuri kuliko ata pombe...Dah pole sana mkuu, acha uhuni lakini si una mke
Go for RunixHabari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Runx,ni 9M
Wish new model nazikubali sana. sema zinauzwa bei ghari...showroom walinambia 17M....used ambayo bado ipo vizuri bei inaanzia 13M mpaka 15MRunx,
wish new model au spacious new model
Shukrani mkuu
chukua runex hutojutia pesa yako engine 1nz af mafuta kiduchuu na spea kibaaaoooooHabari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
[emoji3][emoji3][emoji3]inataka kushabihiana na wagonjwa wa mirembe au wanachama wa ccm (jokes)Inataka kushabihiana na wagonjwa kwenye hospitali yetu pendwa ya Mirembe
Halafu kigari kigumu na kiko juu kidogo kinafaa sana kwa barabara zetu hizichukua runex hutojutia pesa yako engine 1nz af mafuta kiduchuu na spea kibaaaooooo
Run x kadogo,hizo 2 zilizobaki nakubali.Runx,
wish new model au spacious new model
Huzai tenashukrani kiongozi...sina familia kubwa ni mimi, wife na mtoto mmoja..
Kwa budget yako hii kama utahitaji mpya(used from japan) kwa hizo gari ulizozitaja itabid uongeze hela kidogoni 9M
Chukua spacio tu mzee