Wakuu nahitaji kununua gari naombeni ushauri wenu

Wakuu nahitaji kununua gari naombeni ushauri wenu

Dah pole sana mkuu, acha uhuni lakini si una mke
sema bangi sio mbaya kama watu wengi wanavozania....inategemeana tu na kichwa chako...kama una kichwa kibovu ukivuta lazima ikuathiri, unaweza kuwa ata kichaa...ila kama una kichwa kizuri haina shida..tena ni nzuri kuliko ata pombe...
 
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.

Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005

NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Go for Runix

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kwa kuongeza mke wa pili(gari).
Apo bila kupepesa macho jitupe kwenye toyota corola spacio.
 
Runx,
wish new model au spacious new model
Wish new model nazikubali sana. sema zinauzwa bei ghari...showroom walinambia 17M....used ambayo bado ipo vizuri bei inaanzia 13M mpaka 15M
 
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.

Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005

NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
chukua runex hutojutia pesa yako engine 1nz af mafuta kiduchuu na spea kibaaaooooo
 
Kwa budget yako hii kama utahitaji mpya(used from japan) kwa hizo gari ulizozitaja itabid uongeze hela kidogo
Ila kama unataka gari ambayo imetumika Tz utapata yoyote kati ya hzo .

Kwa hiyo hela yako 9M utapata gari mpya hizi ndogo kama vitz,passo,porte na funcargo

Sent from my Nokia using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom