Wakuu nahitaji msaada wa kisheria!

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Ni hivi kuna kiwanja kilikuwa cha bibi mzaa mama,kisha baada ya miaka mingi kupita akaja akamrithisha Mama yangu kabla hata sijazaliwa na baadae tena mama akanipa mimi kile kiwanja,kumbuka hapo hakuna mwenye nyaraka zozote,sasa mimi nitumie utaratibu gani ili niweze kupata nyaraka za kiwanja husika?,maana nipo mbali kidogo na kiwanja husika
 
Hao wahusika wapo hai? Kama wapo hai tengeneza doc wasaini

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…