Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Ni hivi kuna kiwanja kilikuwa cha bibi mzaa mama,kisha baada ya miaka mingi kupita akaja akamrithisha Mama yangu kabla hata sijazaliwa na baadae tena mama akanipa mimi kile kiwanja,kumbuka hapo hakuna mwenye nyaraka zozote,sasa mimi nitumie utaratibu gani ili niweze kupata nyaraka za kiwanja husika?,maana nipo mbali kidogo na kiwanja husika