Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

Safi
Mbinu ni nyingi katika kufanya animations.

Ushauri wangu .
Ni vema kutumia zile mbinu ambazo zitakupa nafasi ya kufanya kazi kama team na wengine.
Namaanisha kunakuwaga na zile universal standard kwenye production ya multimedia contents.

😀 Kuna amabae anatumia premeire pro na photoshop.

After affects+illustrator +photoshop

Moho pro (hii inafanya kila kitu)

Kuna ambao tunafanya 2d kutumia blender😀.

Na hizo ambazo umeziweka wewe hapo.
 
Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.
 
Nimekuelewa vema mkuu.

Pc inabidi iwe na uwezo lazima uiPimp na vitu kama graphics card na mazga mengine vinginevyo .

Mwisho wa siku unajikuta umewekeza pesa na energy kubwa kwenye kitu ambacho soko lenyewe ndio hivyo.
 
Kwamba bado hujajua kutengeneza animation ila unatafuta namna ya kuuza animation? Au sijaelewa mkuu
 
Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.

Kweli.
Si unajua kuna wakina sisi tupo na closed mindset tukijizoesha kutumia application ndiyo hiyo hiyo.
Tunajisahaulisha kuwa ulimwengu wa it ni wakujiupdate kila siku.

Unajitesa kutebgeneza character wako wakati kuna uwezekano wa customize character ambaye yupo full.
 
Hongera kwa kutia nia hii sector, kama unataka kujifunza kwa lugha ya kiswahili wacheki hawa jamaa instagram

1.Pandakilima
Link ya Profile yake ya instagram
Link ya Youtube chaneli yake

2.Boaz Peter ( bongerstudios & bonger toons)
Link ya instagram yake

3.Tai plus
Hii ni organization inatumia 2D & 3D content kufikisha ujumbe kwa jamii
Link ya page ya instagram

4.Devin Martin a.k.a Fikiria 3D
(Login • Instagram anafundisha 3D with practical classes in Dar)

Link ya instagram yake

Binafsi nimejifunzia kwa pandakilima pia inabitaji tu uwe na tablet kama kianzio maana kuchora sio kipaji ila kuna kanuni za uchoraji (illustration) ambazo mtu yeyote anaweza fata na akawa animator mzuri tu

Nadhani hapa utapata mwanga wa kuanzia kikubwa ni nidhamu ya kujifunza tu
 
sikia rafiki mi nipo pamoja na wewe kama upo fresh tushilikiane pamoja ili tutimize ndoto maana kukamilisha animation kuwa mmoja kazi ngumu maana mi mwenyewe najalibu ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812
 
Oya ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812 akili mbili itatufikisha mbali wengine sio wachoraji kikubwa kuwaza je animation tutakazo zitengeneza zitahusu nini
 
Kuna mdogo wangu anasoma 3D. Laptop yake alinunua zaidi ya milioni nne, anasoma online course moja kwa jamaa wa Canada anawalipa dollars kadhaa na amelipia ni zaidi ya mwaka ila bado hajamaliza. Kaanza kusoma 3D miaka kama miwili sasa ila bado anasema hajaiva.

Naona ni kitu fulani cha kusomwa na mtu mwenye bajeti kubwa sio unaishi chumba cha kupanga eti 3D utateseka vibaya mno. Yeye mzee wake ana za kutosha na ndio anagharamikia makozi yote hayo.
 
Uyo mtu ninani bloo nakila kitu nikipaji ujue kama kipaji una utateseka lakini kwa sisi wenye vipaji tupelekeni kwa uyo mtu aniajiri ili ni mfundishe ata akitaka 2d animation sawa
 
Shukrani mkuu
 
sikia rafiki mi nipo pamoja na wewe kama upo fresh tushilikiane pamoja ili tutimize ndoto maana kukamilisha animation kuwa mmoja kazi ngumu maana mi mwenyewe najalibu ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812
Poa mkuu nitakucheki jioni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…