Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu kabisa unajua haya maisha wengi hatuishi ndoto zetuNitatafuta mkuu muda nipo free nifanye nachokipenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu kabisa unajua haya maisha wengi hatuishi ndoto zetuNitatafuta mkuu muda nipo free nifanye nachokipenda.
Tatizo ni mifumo na kipato mkuuKweli mkuu kabisa unajua haya maisha wengi hatuishi ndoto zetu
Presentation, slideshow na animation hizo zote ni motion picturePower point nimewahi tengeneza sana, kivipi ni animation?
SafiHapana sio graphics tablet ni tablet la kawaida tu kama simu tu ila lenyewe nalipendea Kwa Sababu ya large surface. graphics tablet ni Bei ghali mno micro anime mm sijaipata ila kitambo hicho nilianzaga na stoppola hii niliona itanighalimu kwakuwa ilikua unachorea nje then unascan picha kwenye app nikaona jau nikaja kujua kuhusu flipclip mayo haikua nzuri Kihivyo ila update za hivi karibuni zimenifanya nione fursa inawezekana.
Ni kweli mkuu sema internet na Smart device zinasaidia sana aisee. Mfano huko kwenye freelancing site ukiweka ka mfano kidogo lazima upate chochote kitu.Tatizo ni mifumo na kipato mkuu
Animation is all about bringing shapes into life(motion)Power point nimewahi tengeneza sana, kivipi ni animation?
Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.Safi
Mbinu ni nyingi katika kufanya animations.
Ushauri wangu .
Ni vema kutumia zile mbinu ambazo zitakupa nafasi ya kufanya kazi kama team na wengine.
Namaanisha kunakuwaga na zile universal standard kwenye production ya multimedia contents.
[emoji3] Kuna amabae anatumia premeire pro na photoshop.
After affects+illustrator +photoshop
Moho pro (hii inafanya kila kitu)
Kuna ambao tunafanya 2d kutumia blender[emoji3].
Na hizo ambazo umeziweka wewe hapo.
Nimekuelewa vema mkuu.Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.
Kwamba bado hujajua kutengeneza animation ila unatafuta namna ya kuuza animation? Au sijaelewa mkuuWakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi nilipata wazo kuhusu cartoon nanipo mbioni kulitimiza lakini kimbembe nimekiona kwenye 2d animation Kwa maana sielewi nitauza vipi. Japo Nina kishikwambi Cha inch 10.1 na nilinunua app ya flipclip ambayo ni lifetime hivyo hivi vitu vimeniamsha kufanya jambo hili ila sielewi jinsi Nitauza
Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.
Kutengeneza nailewa hasa 2d animation 3d niliishia kwenye texturingKwamba bado hujajua kutengeneza animation ila unatafuta namna ya kuuza animation? Au sijaelewa mkuu
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi nilipata wazo kuhusu cartoon nanipo mbioni kulitimiza lakini kimbembe nimekiona kwenye 2d animation Kwa maana sielewi nitauza vipi. Japo Nina kishikwambi Cha inch 10.1 na nilinunua app ya flipclip ambayo ni lifetime hivyo hivi vitu vimeniamsha kufanya jambo hili ila sielewi jinsi Nitauza
sikia rafiki mi nipo pamoja na wewe kama upo fresh tushilikiane pamoja ili tutimize ndoto maana kukamilisha animation kuwa mmoja kazi ngumu maana mi mwenyewe najalibu ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi nilipata wazo kuhusu cartoon nanipo mbioni kulitimiza lakini kimbembe nimekiona kwenye 2d animation Kwa maana sielewi nitauza vipi. Japo Nina kishikwambi Cha inch 10.1 na nilinunua app ya flipclip ambayo ni lifetime hivyo hivi vitu vimeniamsha kufanya jambo hili ila sielewi jinsi Nitauza
Oya ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812 akili mbili itatufikisha mbali wengine sio wachoraji kikubwa kuwaza je animation tutakazo zitengeneza zitahusu niniWakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi nilipata wazo kuhusu cartoon nanipo mbioni kulitimiza lakini kimbembe nimekiona kwenye 2d animation Kwa maana sielewi nitauza vipi. Japo Nina kishikwambi Cha inch 10.1 na nilinunua app ya flipclip ambayo ni lifetime hivyo hivi vitu vimeniamsha kufanya jambo hili ila sielewi jinsi Nitauza
Shukrani mkuuHongera kwa kutia nia hii sector, kama unataka kujifunza kwa lugha ya kiswahili wacheki hawa jamaa instagram
1.Pandakilima
Link ya Profile yake ya instagram
Link ya Youtube chaneli yake
2.Boaz Peter ( bongerstudios & bonger toons)
Link ya instagram yake
3.Tai plus
Hii ni organization inatumia 2D & 3D content kufikisha ujumbe kwa jamii
Link ya page ya instagram
4.Devin Martin a.k.a Fikiria 3D
(Login • Instagram anafundisha 3D with practical classes in Dar)
Link ya instagram yake
Binafsi nimejifunzia kwa pandakilima pia inabitaji tu uwe na tablet kama kianzio maana kuchora sio kipaji ila kuna kanuni za uchoraji (illustration) ambazo mtu yeyote anaweza fata na akawa animator mzuri tu
Nadhani hapa utapata mwanga wa kuanzia kikubwa ni nidhamu ya kujifunza tu
Poa mkuu nitakucheki jioni mkuusikia rafiki mi nipo pamoja na wewe kama upo fresh tushilikiane pamoja ili tutimize ndoto maana kukamilisha animation kuwa mmoja kazi ngumu maana mi mwenyewe najalibu ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812
Fresh usiwazePoa mkuu nitakucheki jioni mkuu