wakuu! nakaribia kuchizi! nisaidieni

wakuu! nakaribia kuchizi! nisaidieni

Ndugu yangu usipokaa sawa utaangukia mikononi mwa matapeli na utalia na moyo wako. Huko uliko nunua plot au shamba kwa kufuata njia halali then tunza risit. Ni sawa na kuweka fixed deposit.

Wazo lako ni jema sana. Tena ni zaidi ya fixed deposit.
 
Hapo mkuu unakua selfish,kwan wewe umetokaje na hzo mishe za town!uliamka ukazijua? C nepata kwa watu?acha hzo mambo

Sina character ya ubinafsi hata kidogo, nikiona ni salama huwa nagawa bure info yoyote yenye kuingiza kipato, mfano halisi ingia jukwaa la uchumi na biashara, tafuta thread imeandikwa PESA BILA JASHO. I wouldnt advice you kwenye hiyo issue though.
 
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato

Mishikaki haihitaji mpunga mwingi sana unampa tu kijana anasimama nayo pale stendi saa za jioni wewe unakaa kibarazani unachezea computer yako; kuanzia saa kumi jioni hadi tatu usiku unafunga hesabu uangojea mambo ya siku ijayo
 
!
!
pikipiki zimekuwa nyingi,mpesa tigo pesa pia zimekuwa nyingi

usiogope,kama unawaza kuwa na pikipiki au tigo pesa ni wazo jema sana. muhimu ni uwezo wa kutafuta wateja na kuweza kuwa nao kwa muda mrefu. angalia ni kipi utakuja nacho katika hizo ideaz zako mbili kitakuwa tofauti na kuwafanya watu waje kwako na si kwa watoa huduma wengine!?
kuona pikipiki na hizo mobile phone baking centre nyingi ni ishara tusha kwamba kuna biashara ya kufanya huko.
 
Nunua Shamba upande miti mkuu,litakua kama Security and in longrun hiyo miti yenyewe ni Security kubwa ya kuomba mkopo benki.
 
Nunua Shamba upande miti mkuu,litakua kama Security and in the longrun hiyo miti yenyewe ni Security kubwa ya kuomba mkopo benki.
 
Back
Top Bottom