Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato